MADHARA 11 YA PUNYETO (MASTURBATION PART 1)



Punyeto ni tendo la kutomasa uume ili kujisisimua kimapenzi hadi kufikia kileleni (climax). Pia ni tendo la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi.

Hata katika Biblia kitabu cha Mwanzo Onani mwana wa Yuda na Shua alipoambiwa na BWANA alale na mke wa nduguye Eri aitwaye Tamari (alimkataa kwa sababu uzao huo usingekuwa wake) hivyo akawa akimwingilia Tamari, kila afikiapo kileleni hutoa uume na kumwaga nje ya uke ili asimpe mimba (Mwanzo 38:9). Na BWANA alipogundua hilo alitendalo Onani, alikasirishwa nalo hivyo akamwua kwa kitendo hicho (Mwanzo 38:10). Lakini kulingana na maandiko, Bwana alimwua Onani kwa sababu ya kuvunja amri yake ya kwamba ampe Tamari mke wa Eri mimba apate watoto. Hivyo bado tupo na wazo kwamba kunautatuzi wa kwa nini Bwana hakukataza moja kwa moja kupiga punyeto.

Hili hujulikana sana kwa wanaume tu sema tokea zamani hata wanawake waligundulika ia kufanya hivyo wakilifanya hili pale wanapotamani ila hawahitaji mtu wa jinsia nyingine au ni kutokana na kujiepusha na mambo kama mimba zisizohitajika. Kutambua kwamba Tendo hili hufanyika kwa kusugua sehemu za siri na kujipapasa ili kupata msisimko wa kimapenzi na kuhesabia kama tendo la ndoa. Kwa hapa tutaongelea upande wa wanaume. Unapojishikashika uume hata kusababisha kusimamisha ni tokeo la kuona picha na mawazo ya kuwa uko na mwanamke mkifanya tendo la ndoa jinsi upendavyo wewe. Akili ikiwa kama chuo kikuu cha kujenga fikra hizi husisimua neva (nerve cells) na hivyo kukupelekea wewe kusisimka hasa ushikapo kichwa cha uume. Baada ya tendo hilo mpiga punyeto hupata tena hamu ya kufanya tendo hilo hivyo kusababisha mazoea.

MADHARA.

Kila chenye utamu kina maumivu labda tuseme kasoro kwenda Mbinguni. Ni wazi kabisa mazoea hujenga tabia na tabia nyingine sio kabisa za kushikilia hasa pale ambapo tabia hiyo haifai kwako wewe na jamii. Punyeto ina ladha ya namna yake ambayo huweza kupitwa tu na tendo lenyewe hasa kama sio sugu ya miaka kumi na moja (11). Harvard University na Healthline wao wamechunguza na kupata ya kwao. “Hichi ndicho ninachowafanya wale wapenzi wangu wanaonifuata” asema Bwana Punyeto.

1. Nitaufanya mwili wako uwe dhaifu.

Punyeto huweza kupunguza nguvu za utenda kazi katika maisha yako yako ya kila siku kwa sababu hupoteza protini na kalsiamu katika mwili kwa kiasi kikubwa hivyo kupunguza nguvu za kuweza kushiriki katika shughuli mbalimbali za jamii. Kwa uchovu huo huweza kukufanya uruke baadhi ya kazi za kijamii na pia kuruka program kadha wa kadha katikati ya siku.

2. Nitazitafuna neva zako sema hutajua.

Neva hizi hushindwa kabisa kusambaza taarifa kwa kupeleka au kutoa katika ubongo hadi sehemu mbalimbali za mwili. Kulingana na Healthline kupiga punyeto mara kwa mara hupelekea mpigaji kutafuta mbinu kadha wa kadha za kuzidi kujifurahisha. Tendo hili humsababisha mpiga punyeto kuzidisha msuguano wa mkono wake na uume na hapo ndipo anapoharibu seli za kichwa cha uume wake kwani hupata joto jingi na kuplekea hapo baadae kushindwa kuridhia na joto la uke au kutosikia msuguano wa kutosha kufikia kileleni.

3. Nitakufanya kuwa mtumwa wangu.

Punyeto huongeza hamu ya kufanya tendo hilo baadae maana huwa inaongeza hisia za kutenda tena baada ya muda fulani. Uanzapo kupiga punyeto kwa mara ya kwanza utapata ladha hujawahi ona kwa sababu ya utamu wa mkono ambao unauendesha utakavyo wewe. Jinsi unavyozidi kuhangaika na kuongeza siku za kupiga ndivyo jinsi unazidi kuwa mtumwa wa punyeto na ndivyo jinsi inavyozidi kuwa ngumu kwa wewe kuacha. Mwisho wa siku unakua mtumwa wake. “usihofu hata wavuta bangi wengine waliacha!”

4. Saikolojia yako nitaitafuna

Piga puchu mpaka uzoee halafu uone utakavyokuwa kiakili. Kwanza utakuwa unaiwaza maara kwa mara kila uonapo matiti ya mwanamke hasa wale wanaovaa nguo zinazo yabana na kuyapandisha yakae juu na hivyo kuzini kwa machot “Utajichukia ukigundua”. Pili utakuwa huna raha kila baada ya kumaliza kupiga puchu nah ii hupelekea siku yako nzima kuwa ya ajabu na mbaya yenye kuhisi huzuni na kukosa furaha hata kujichukia mara kwa mara “usihofu hutatamani kukata hiyo mashine hapo chini!”

5. Nitakutia hasara ya kipato chako

Mzee mkubwa utatamani kila mara uende kwenye ile website yako unayoipenda sana yenye urahisi wa kupakua video za kutosha za uchi za porno na kila ukiangalia lazima utamani usimamishe mashine na kukupelekea kupiga ngoma. Itakuwa mpaka umalize ndipo utakapogundua umemaliza MB zako zote ambazo ungezitumia kufanya mambo ya msingi zaidi kwenye Internet kama kuendesha blogu yako au kuendesha Channel yako ya Youtube upate pesa. Hicho ndicho kifanyacho punyeto. healthline

6. Utawahi kufika kileleni.

Kuwahi kufika kileleni kunaweza sababisha mafarakano baina ya wapendanao kwa sababu ya kusindwa kumridhisha mwenzio. Hili litakuwa kero kwako hasa pale ambapo mwenza wako hatafurahia chochote umfanyialo labda umchezee kabla ya tendo lenyewe.

7. Nitakupatia kipara kwenye kichwa chako.

Ni wazi kabisa kwamba hakuna mwanaume anayependa kile kipara kinachomuota juu ya kichwa bila hata kunyoa. Ieleweke kwamba, sio punyeto inayoleta Kiwalaza bali husukumiza kitokee katika kichwa chako. Hii ni kwa sababu Protini nyingi hugeuzwa kuwa manii (maji maji yanayolainisha uume wakati wa tendo la ndoa) hivyo kunyonywa na kutokua kama iitajikavyo katika kukuza nywele. Kwa hiyo kama bado unapenda nywele za kichwa chako, achana na punyeto au punguza kuipiga.

8. Nitakupunguzia uwezo wako wa kuzalisha..

Kwa wale wapiga puchu wazoefu watapata tatizo moja kubwa sana nalo ni kuwa na mbegu chache zenye nguvu ambazo zinaweza kurutubisha yai kwa ajili ya kuleta mtoto. Sperm count idadi ya mbegu zako ikiwa chini ya mbegu 900,000 hadi 1,000,000 ndani ya bao moja basi utashindwa kumpa mwenza wako mimba. Mbaya zaidi zikiwa na mkia mfupi ambao hautaziwezesha kufika ndani kabisa ya uke yai linaporutubishiwa ndio hutaweza kuzalisha kabisa. “Usihofu zipo njia za kurudisha afya ya mbegu zako na idadi yake!”

9. Nitakufanya uishi kwa shida hasa ndani ya ndoa yako

Tatizo hili huwa na madhara ya kushindwa kumpa mwanamke ujauzito na hili ni tatizo kubwa sana baina ya wana ndoa wakati huu. Hilo hutokea kwa wale wapiga puchu wa muda mrefu ambao hata ndani ya ndoa bado wanaendelea na raha hiyo isiyo na faida yoyote hasa pale ambapo tayari ushakwisha oa. Utashindwa kumridhisha mkeo nay eye kama hata kuwa mvumilivu hutapenda kitakachofuata ikiwemo michepuko na wanaume wengine kibaya zaidi wanaweza wakawa marafiki zako.

10. Kusahau


Kikubwa kuhusu punyeto kinachomfanya mtumwa wake ni kusahau. Hata kama una uwezo wa kukumbuka mambo mengi na kukremu mengi lakini ukiwa teja wa punyeto hata ukiambiwa ulete mnavu utaleta mchicha. 

Hata ukiulizwa moja jumlisha moja utajibu kumi na moja. Hutafurahia hichi. Hivyo jua kwamba ukiwa mpiga punyeto hutapiga hesabu vizuri na vitu vidogo vidogo hutaweza kuvitofautisha.





11. Hupunguza uwezo wa kujiamini


Aibu hii huwa ni ya muda mrefu kama vile kushindwa kuangaliana na  mtu machoni wakati wa mazungumzo na pia, kushindwa kufanya vitu vya muhimu na kutoa maoni katika mikutano mbali mbali katika jamiii kwa kuona kwamba wazo lako silo.

Ukityaka njia mbadala tazama Jinsi ya kuacha Masturbation (Punyeto)




            

Comments