NO MASUTRBATION. JINSI YA KUACHA PUNYETO



Kwa njia kadha wa kadha ambazo mtu anaweza kujistarehesha, punyeto nayo ni moja wapo. Kulingana na taarifa aliyotoa Dr. Sam Robins wa Marekani, Punyeto inaweza kuwa faida au haasara wakati huohuo. "Kinga ni bora kuliko tiba", Waswahili wasema. Hivyo bas, hapa chini tunaorodhesha mbinu mbalimbali za Jinsi ya Kuacha Maturbation/punyeto

Pata muda mwingi wa kupumzika.

Hii inahusisha kulala mapema na kuipa akili muda wa kupumzika ili kuweza kuiandaa kwa ajili ya siku ijayo. Usipende kut5umia simu yako nyakati za usiku kwa sababu mara nyingi unaweza ukaikua umeliza labd kutazama simu au kuchat na marafiki, ukajikuta umeshaingiwa na hamu ya kufungua ukurasa wa porn. kuwa makini na hili kwani ndilo kichocheo kikubwa kwa wengi wanaotaka kuacha punyeto.


Acha kuangalia picha za ngono (Pornography).

Ili uweze kuepuka tendo hili epuka kuangalia picha za ngono kwa sababu picha hizi ndizo kisababishi kikubwa cha kufanya tendo hilo. kwa sababu mara kwa mara, watu wengi hutafuta kitu cha kuwaweka occupied (busy), hasa wale wasio na la kufanya kwa wakati fulani, akili ina namna ambayo humfanya mtu apate jambop fulani la kumrisdhisha na ambalo linamtoa katika upweke. kama ushawahi kuangalia Pornography na kwa bahati fulani ushawahi kupiga punyeto kwa kupitia kuangalia XXX, basi utakuwa mtekwa. hivyo ili kuacha punyeto, huna budi kuacha kutazama picha za ngono. Jinsi ya kuacha picha za ngono.


Fanya mazoezi na ushughulishe mwili.

Mazoezi yanasaidia mwili kufikiria matendo mengi sana hasa yale yanayouburudisha mwili likiwemo ngono. Faida ya mazoezi katika mwili wa mwanadamu ni nyingi sana ila kuu zaidi ni kuujenga mwili ambako kunapelekea uchomvu wa muda unaoepusha akili kufikiri jambo jingine lolote zaidi ya jinsi ya kuutuliza mwili na kuondoa matatizo maishani mwako. hivyo, mazoezi kwa asilimia kubwa husaidia sana katika kutokomeza tabia ya kupiga punyeto


Matumizi ya matunda na mboga mboga ni muhimu.

Matunda na mboga mboga ni muhimu katika kujenga mwili upya kwa kuongeza protini mwilini ambayo ilikuwa imepotea wakati wa kupiga punyeto.


Epuka vikundi visivyo na maana ambavyo hushauri kufanya vitendo visivyo sawa katika jamii.


Wakati wa kuoga epuka kukaa muda mrefu bafuni au chooni.

Kwani hii inaweza sababisha kumpa mtu kishawishi cha kufanya tena tendo hilo wakati akiwa eneo hilo.



MADHARA YA KIMWILI. 

Maumivu ya Mgongo kwa chini


Kupoteza nywele  sehemu za siri.


Kupungua kwa nguvu za kiume.


Kuwahi kumaliza tendo la ndoa.


Kupoteza uwezo wa kuona vizuri uzeeni.


Maumivu ya kende.


Maumivu ya nyonga.


Kuchooka sana.


Msongo wa mawazo.


Kupoteza kumbukumbu.


Basi hivyo ndiyo maana mwanaume hashauriwi kuendelea kupiga puchu na anapaswa kuacha mara hata kama itakuwa vigumu lakini hana budi kujitahidi kuacha labda kama hataki kufurahia raha ya tendo la ndoa mbeleni.


Unaweza kuepuka hilo ukanza na PLAN A ambayo inahusisha kupiga puchu mara moja kila wiki alafu taratibu mara moja kwa wiki mbili alafu, mara moja kwa wiki tatu hadi wiki sita hadi miezi minne. Ghafla tu utashtukia maajabu pale ambapo hutakuwa na hamu ya kufanya tena ila tu utahitaji mziki wenyewe wa wawili hivyo weka tahadhari.


Kama utahitaji kwa haraka sana nenda PLAN B. Piga punyeto yako mara moja alafu unajizima na fikra hizo kwa siku 40. Hii hapa ni zoezi ambayo inamaumivu sana kwa kuwa ni ngumu kufikia lengo la kuweza kufanya hilo. Hii ni kwa sababu kila mara utakapo ona uume wako utajikuta unahamasa ya kuushika na hapo ndipo kazi ilipo kwa maana ukiushika tu, tayari utakuwa ushavunja mpangokazi. Ndio maana naiweka kama Plan B.


Tafadhali tujulishe maoni yako juu ya blog yetu!


Comments